Katika video hii, tunachambua vikali kauli za msanii Jay-Z dhidi ya Lil Wayne, ambapo Jay-Z amedai kwamba Lil Wayne hana uwezo wa ku-perform jukwaani na kwamba maneno yake ni ya kipuzi! Lakini je, kuna ukweli wowote kwenye maneno haya? Tunajua Lil Wayne ni mtaalamu wa lugha, na uwezo wake wa kuchezea maneno na 'flow' yake ni ya kipekee. Jay-Z anazidi kumdhalilisha Wayne kwa kudai kuwa anaathirika na madawa ya kulevya. Je, unakubaliana na kauli hizi au unadhani Wayne ana uwezo wa kipekee jukwaani? Niachie maoni yako kwenye sehemu ya comment.
#jayz #lilwayne #celebritynews #shortsfeed #lifestyle
#jayz #lilwayne #celebritynews #shortsfeed #lifestyle
- Catégories
- Divers News Artistes
- Mots-clés
- #jayz, #lilwayne, #celebritiesnews
Commentaires