Katika video hii tunazungumzia kuhusu ugomvi unaoendelea kati ya wasanii wawili wakubwa wa Marekani, Rick Ross na Lil Wayne. Lil Wayne amempa Rick Ross masaa 24 ya kuomba msamaha baada ya Rick Ross kumkosea heshima kwa kumuita amezeeka. Je, Unadhani nini kitafuata kama Rick Ross hataomba msamaha?
Niachie kwenye comment section
#rickross #lilwayne #hiphopmusic#shortsfeed #bongofleva
Niachie kwenye comment section
#rickross #lilwayne #hiphopmusic#shortsfeed #bongofleva
- Catégories
- Divers News Artistes
- Mots-clés
- #RickRoss, #LilWayne, #hiphopmusic
Commentaires