Mwaka wa 2024 umeleta huzuni kubwa kwa mashabiki wa Hip-Hop, kwani magwiji wetu wakongwe kama Lil Wayne, Snoop Dogg, 50 Cent, na Eminem wanaanza kuelekea ukingoni mwa safari zao za muziki. Wamekuwa wakitupatia burudani na maneno makali kwa miongo kadhaa, lakini sasa tunaanza kushuhudia kizazi kipya cha wasanii wakijaribu kuchukua nafasi zao. Je, kweli wataweza kufikia viwango vyao? Niachie maoni yako kwenye sehemu ya comment.
#lilwayne #50cent #snoopdogg #shortsfeed #celebritynews
#lilwayne #50cent #snoopdogg #shortsfeed #celebritynews
- Catégories
- Divers News Artistes
- Mots-clés
- #lilwayne, #Snoopdogg, #Eminem
Commentaires