Nicki Minaj amefunguka kuhusu jinsi Lil Wayne alivyomfundisha kazi na nidhamu kwenye muziki! Katika mahojiano haya ya kipekee, Nicki anasimulia jinsi alivyoshangazwa na ratiba ya Lil Wayne ya kuingia studio saa 3:00 asubuhi na kutoka saa 11:00 jioni kila siku kama kazi ya ofisini. Je, bidii na nidhamu kama hii ndio siri ya mafanikio makubwa ya Lil Wayne kwenye game ya rap? Niachie maoni yako kwenye sehemu ya comment.
#nickiminaj #lilwayne #hiphopartist #shortsfeed #lifestyle
#nickiminaj #lilwayne #hiphopartist #shortsfeed #lifestyle
- Catégories
- Divers News Artistes
- Mots-clés
- #nickiminaj, #HipHopNews, #Wasanii
Commentaires