Je huu ndio mwisho wa P Diddy?

Votre vidéo commence dans 10
Passer (5)
Formation gratuite en FR pour les membres inscrits sur les sites de vidéos

Merci ! Partagez avec vos amis !

Vous avez aimé cette vidéo, merci de votre vote !

Ajoutées by admin
18 Vues
Je huu ndio mwisho wa P Diddy?

Tangu katikati ya Septemba jina la Puff Daddy au P Diddy limetawala vichwa vya habari kote duniani. Lakini sio kwa wema.

Msanii huyo na gwiji wa muzuki wa rap Marekani anakabiliwa na shutuma nyingi ikiwemo ubakaji, unyanyasaji wa wasanii wengine, usaliti, na uhalifu wa kiuchumi.

P Diddy amezuiliwa katika gereza mjini New York na amenyimwa dhamana.

Fuatilia Habari zetu:
???? https://www.trtafrika.com/sw

Tiktok
???? https://www.tiktok.com/@trtafrikasw

Facebook
???? https://www.facebook.com/trtafrikaSW

Youtube
???? https://www.youtube.com/@trtafrikasw

X
⚫ https://x.com/trtafrikaSW

Instagram
???? https://www.instagram.com/trtafrikasw
Catégories
Divers News Artistes
Mots-clés
habari, habari leo, habari za leo

Ajouter un commentaire

Commentaires

Soyez le premier à commenter cette vidéo.