Mkuu wa mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka akifungua mkutano mkuu wa saba wa shirikisho la chama cha wafanyakazi Tanzania TUCTA amelitaka shirikisho hilo kuondoa migogoro na migawanyiko na kauli ya pamoja ya kutetea maslahi ya wanachama wao.
- Catégories
- Cours de Batterie & Percussions
Commentaires