MAVOKALI NDIE MSANII MPYA WA WCB? 2/2/2023 DEAL DONE ✅

Votre vidéo commence dans 10
Passer (5)
Formation gratuite en FR pour les membres inscrits sur les sites de vidéos

Merci ! Partagez avec vos amis !

Vous avez aimé cette vidéo, merci de votre vote !

Ajoutées by admin
60 Vues
#mavokali

MAVOKALI NDIO MSANII MPYA WCB WASAFI

Saa chache zilizopita C.E.O wa Wcb Wasafi @diamondplatnumz alishare taarifa nzuri za kumsaini msanii mpya leo tarehe mbili mwezi wa pili

Muda mchache baadae hit maker wa #Comando @mavokali_ pia ameshare kwenye insta story yake ujumbe unaosema

Deal Done 02.Feb.2023 “ @mavokali_

Ukiacha hilo @mavokali_ amefuta picha na vides zote ambazo amewahi kupost kwenye page yake ya Instagram, kitu kinachofanya watu kuanza maswali mengi na kubwa likuwa, Je @mavokali_ ndio msanii aliyemwaga wino Wcb wasafi leo?


#diamondplatinumz #wcb #wcbwasafi #wasafitv #wasafifm
Catégories
Artistes & Divers News
Mots-clés
Mavokali, Diamond Platnumz, Wasafi Media

Ajouter un commentaire

Commentaires

Soyez le premier à commenter cette vidéo.