Je, Yesu ni nani: Mzungu au Mweusi? #2

Votre vidéo commence dans 10
Passer (5)
cash machine v4

Merci ! Partagez avec vos amis !

Vous avez aimé cette vidéo, merci de votre vote !

Ajoutées by admin
84 Vues
Je, Yesu ni nani: Mzungu au Mweusi? #2
#MajaliwaMachinda
Mahojiano haya yameletwa kwako na Winnipeg Swahili TV Canada na Mtangazaji Solomon Baleke kwenye mada hii tata kwa walio wengi.
Ulimwengu umegubikwa na Mafundisho potovu na ya uongo kuhusiana na historia ya Waisraeli na utu wa Yesu (Yeshua). Ukweli uliopo ni mgumu kukubaliwa na walio wengi kufuatana na mafundisho potovu yanayo husiana na picha na filamu za wazungu kuhusu Yeshua.
Mahojiano haya yalichukuwa takriban masaa mawili kulingana na mitambo ya kimtandao na maswali kuwa mengi.
Mahojiano haya yamegawanyika kwenye sehemu 4. Nakuomba uzifuatilie video zote hadi mwisho ili uelewe sababu zinazoonyesha yeshu ni Mweusi wala si mzungu.
Watch video #1 here ???????? https://www.youtube.com/watch?v=1uITaXTnV6Y
Follow us on:
Facebook: https://www.facebook.com/MajaliwaMach...
Instagram: https://www.instagram.com/majaliwamac...
#AwakeningCampaign
#Bantuisraelites
#M2Reviews
#Jesusisnotwhite
#YouTubeChannel
Catégories
Cours de Theatre

Ajouter un commentaire

Commentaires

Soyez le premier à commenter cette vidéo.