DR.SEBI: ALIGUNDUA DAWA YA UKIMWI /KIFO CHAKE CHA UTATA

Votre vidéo commence dans 10
Passer (5)
cash machine v4

Merci ! Partagez avec vos amis !

Vous avez aimé cette vidéo, merci de votre vote !

Ajoutées by
103 Vues
DR.SEBI: ALIGUNDUA DAWA YA UKIMWI /KIFO CHAKE CHA UTATA

Alfredo Bowman maarufu kama Dr. Sebi, hakutibu ukimwi tu, alitibu hadi kansa na kisukari kuharibu biashara za watu, wakamfugulia jumla ya kesi 2,781 kwa udanyanyifu na utapeli akashinda zote, akaja kubambikiziwa zengwe la utakatishaji fedha, akatupwa jela na kufia huko, tukaambiwa alikufa kwa nimonia.

Dr. Sebi alianza kazi ya utabibu wa mitishamba baada ya wazungu kushindwa kumtibu kisukari, ugumba, athma na overweight, akaja kutibiwa kwa mitishamba huko Mexico, mgumba Sebi akajitwalia wake wawili na kubarikiwa watoto 17. Angewasikiliza wazungu, Sebi angekufa bila katoto. Ndo maana huwa nasema Waafrika wote tungejua kwamba sisi ndo wafalme wa tiba hapa duniani tusingepoteza pesa kwenye tiba za kizungu, badala yake tungemshukuru Mungu kwa zawadi hii ya utabibu aliyotupa bure na kisha tukaingia kuwatibu wagonjwa wote duniani maana imeandikwa ukishukuru Mungu anatenda usiposhukuru shetani anatenda!

JE,UNATAKA KUTANGAZA NA ANANIAS EDGAR TV?
WASILIANA NASI KUPITIA: +255659982764 /+255629977724
EMAIL: ananiasedgartv@gmail.com

Follow Us On Instagram
https://www.instagram.com/ananiasedgartz
https://www.instagram.com/ananiasedgartv
SUBSCRIBE
https://bit.ly/2ZWGBXo

Copyright Disclaimer: Under Section 107 of the Copyright Act 1976, allowance is made for fair use for purposes such as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship, and research.


______________________________________________________________________________________________


SIMULIZI ZA MATUKIO: https://bit.ly/2XlNCzg
HISTORIA ZA VIONGOZI: https://bit.ly/3ezWg2X
ELIMU ZA UKOMBOZI: https://bit.ly/3eCOK7m
Catégories
Cours de Chant

Ajouter un commentaire

Commentaires

Soyez le premier à commenter cette vidéo.