DIAMOND Ashinda TUZO ya MSANII BORA wa MWAKA AFRIKA WIZKID Aongoza kwa TUZO AEAUSA2021 Zuchu, Vanny

Votre vidéo commence dans 10
Passer (5)
cash machine v4

Merci ! Partagez avec vos amis !

Vous avez aimé cette vidéo, merci de votre vote !

Ajoutées by admin
114 Vues
#aeaawards #sanuka #naKingB
Usiku wa kuamkia leo yani tarehe 26 mwezi wa kumi na mbili zimetangazwa Tuzo za AEAUSA AWARDS 2021 Ambapo kutoka Tanzania wasanii wengi walikua kwenye nomination kama Zuchu, Rayvann, Mbosso, Alikiba, Diamond na Harmonize lakini kwenye kipengele cha best artist mshindi wa Tuzo kwenye hicho kipengele ni Diamond ambapo ameweza kumshinda tuzo hiyo kwa mchuano mkali na wanii wenzake wa hapa Afrika kama Wizkid, Davido, BurnaBoy, Yemialade na Tiwa savage
Catégories
Divers News Artistes

Ajouter un commentaire

Commentaires

Soyez le premier à commenter cette vidéo.