Simba SC leo wamecheza meche dhidi ya Azam FC katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam na kufanikiwa kupata ushindi wa magoli 2-1, magoli ambayo yamefungwa na Kanoute na Sakho huku goli Ła kufutia machozi la Azam FC likifungwa na Rogers Kola.
- Catégories
- Cours de Basse
Commentaires