Goli pekee la Rodgers Kola limeipa Azam FC pointi tatu muhimu ikiitandika Geita Gold FC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliowaka kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Katika mchezo huo pia Azam FC walipata penati iliyopigwa na Lusajo Mwaikenda na kupanguliwa na golikipa Komein Abubakar.
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

- Catégories
- Cours de Guitare
Commentaires